Bagamoyo Tours Organization and Training Centre

Bagamoyo Tours Organization and Training Centre Fadhili saidi Director Bagamoyo tours organization and Training centre

Maisha na Mazingira ni mwendo mask kwetu watunzaji na hifadhi.Tuyalinde Mazingira yetu k**a mboni ya jicho. Utalii Mazin...
22/02/2019

Maisha na Mazingira ni mwendo mask kwetu watunzaji na hifadhi.Tuyalinde Mazingira yetu k**a mboni ya jicho. Utalii Mazingira rafiki SAADAN, MIKUMI, RUAHA, UDZUNGWA NA SELOUR MBUGA ZETU. TUNAWAKARIBISHA. TUPIGIE 0655186872

31/01/2019

TUNA MAZINGIRA NA BORESHA USAFI WA AFYA NA KAZI ZAKO. JITATHIMINI KWA KUFUATA MAELEKEZO HAYA.ZINGATIA KANUNI ZA AFYA BORA.TYPO HEWANI 24HRS KWA MCHAFUZI WA MAZINGIRA YETU. TUTAKUJAZA KWA TAARIFA ZAIDI NA KWA USHAHIDI..CALL US KIOFISI ZAIDI 0655186872

31/01/2019

Nahisi huzuni pale wanajamii katika kaya zetu wanapotupa takataka hovyo pia kutojari afya zao na watoto wetu. Zingatia usafi ni kwa ajiri ya afya yako na yangu na wenzetu. Mazingira bora kila MTUNGI anawajibika nayo. Tuwe macho kutunza Mazingira na afya kiujumla. Jirani ama rafiki na wakati mwingine nudging zetu ama yako mhamasishe asitupe takataka hovyo. Hifadhi Matilda mfuko tayari kupeleka DAMPO. Pia epuka kutumia mifuko ya plastiki ama nailoni inaharibu Mazingira yetu fikiri kwa makini ewe mwanainchi. TUDUMISHE UTALII NA MAZINGIRA RAFIKI .(MAINTAIN TOURISM FRIENDLY ENVIRONMENT.)

30/01/2019

Utalii na mazingira habari ya MOROGORO Mikumiiii.

Bagatours kazikazi usafi Mazingira na afya uzazi.
26/01/2019

Bagatours kazikazi usafi Mazingira na afya uzazi.

10/01/2019

Tuihurumie misitu yetu kwani ni sehemu ya mazingira acha Kuharibu hovyo misitu yetu. Fuata taratibu za utunzaji misitu ewe mtanzania.

29/12/2018

Utalii kigoma wapamba moto .karibuni.

28/12/2018

Utalii wachukua Kasi Dodoma.Karibu watalii wa ndani.

22/12/2018

Ewe mtanzania tujifunze kuhifadhi na kuyatunza mazingira yetu

22/12/2018

Hifadhi Mazingira ya bagamoyo na MOROGORO kwetu

Address

BAGAMOYO
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bagamoyo Tours Organization and Training Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share