MoyAfrica Travel 2025

MoyAfrica Travel 2025 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MoyAfrica Travel 2025, Tour Agency, julius nyerere international airport, Dar es Salam.

We provides
1.Visa Applications and Permits.
2.Air ticketing and Reservations.
3.Hotel Bookings.
4.Tanzanian Passport Application
5.Airport Meet And Assist Services.
6.eticketing.trc.booking za SGR
7.Free walking tours in Dar es Salaam (GURU)

06/03/2025

We provides
1.Visa Applications and Permits.
2.Air ticketing and Reservations.
3.Hotel Bookings.
4.Tanzanian Passport Application
5.Airport Meet And Assist Services.
6.eticketing.trc.booking za SGR
7.Free walking tours in Dar es Salaam (GURU)

Contact us Through :-

WatsApp +255675338259

Email: [email protected]

21/11/2022

4NEFI 1:13
"Na ikawa kwamba hakukuwepo na ubishi miongoni mwa watu wote, katika ile nchi yote; lakini kulikuwa na miujiza mikuu iliyofanywa na wanafunzi wa Yesu"


MBAGALA BRANCH SUNDAY WORSHIP

21/11/2022

Mosia 2:41
"Na zaidi, ningetamani mtafakari juu ya hali ya baraka na yenye furaha ya wale wanaotii amri za Mungu. Kwani tazama, wanabarikiwa katika vitu vyote, vya muda na vya kiroho; na k**a watavumilia kwa uaminifu hadi mwisho watapokewa mbinguni, kwamba hapo waishi na Mungu katika hali ya furaha isiyo na mwisho. Enyi kumbukeni, kumbukeni kwamba vitu hivi ni vya kweli; kwani Bwana Mungu ameyazungumza".


MBAGALABRANCHSUNDAYWORSHIP!

20/11/2022

HONGERA ARUSHA.....!!!!!

Ni siku ya Kihistoria kwenye Ukuaji wa Kanisa la YESU KRISTO LA WATAKATIFU WA SIKU ZA MWISHO mkoani hapa mara baada ya Uundwaji wa WILAYA MPYA YA KIKANISA YA ARUSHA.

Baraka tele na furaha pale kazi ya MUNGU inaposonga na hakuna mikono itakayoweza kuzuia kazi hii isiende mbele.

14/11/2022

Na nilipokula tunda lile lilijaza nafsi yangu na shangwe tele; kwa hivyo, nikaanza kutaka jamii yangu na wao pia wale; kwani nilijua kwamba lilikuwa tunda la kupendeza zaidi ya yote.
13 Na nilipotazama hapa na pale, ili pia labda nione jamii yangu, niliona mto wa maji; na ulitiririka, karibu na mti ule ambao nilikuwa nikila matunda yake.
14 Na nikatazama nione ulitoka wapi; na nikaona chimbuko lake mbali kidogo; na kwenye chimbuko nikaona mama yenu Saria, na Samu, na Nefi; na walisimama wakawa k**a hawajui wanapoenda.

14/11/2022

Na baada ya kusafiri kwa masaa mengi gizani, nilianza kumwomba Bwana anihurumie, kulingana na wingi wa rehema na fadhili zake.
9 Na ikawa kwamba baada ya mimi kumwomba Bwana, niliona uwanja mkubwa na mpana.
10 Na ikawa kwamba niliona mti, ambao matunda yake yalitamanika kumfurahisha mwanadamu.
11 Na ikawa kwamba nilienda na nikala matunda yake; na nikagundua kwamba yalikuwa matamu, zaidi ya yote ambayo nilikuwa nimeonja. Ndiyo, na nikaona kwamba tunda lake lilikuwa leupe, kushinda weupe wote ambao nilikuwa nimeuona.

Address

Julius Nyerere International Airport
Dar Es Salam
255

Opening Hours

Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MoyAfrica Travel 2025 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MoyAfrica Travel 2025:

Share

Category