Dodoma Safari's Tour

Dodoma Safari's Tour Dodoma Safari's Tour Kazi yetu kuhamasisha watanzania kutembelea hifadhi zetu. Karibu

Nawashukuru sana ndugu zangu kupata nafasi ya kufurahi pamoja ndani ya  Tukutame tena tour inayofata.
06/05/2025

Nawashukuru sana ndugu zangu kupata nafasi ya kufurahi pamoja ndani ya

Tukutame tena tour inayofata.

HABARI ZA WAKATI HUU*TAARIFA SAFARI YA UTALII NDANI YA MAMLAKA YA  HIFADHI YA NGORONGORO CRATER (TRIP TOUR NGORONGORO CO...
16/04/2025

HABARI ZA WAKATI HUU

*TAARIFA SAFARI YA UTALII NDANI YA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO CRATER (TRIP TOUR NGORONGORO CONSERVATION AREA ) APRIL 26, 2025 2DAY AND 1 NIGHTS.

Dodoma Safari's Tour inatarajia kufanya safari ya kitalii katika hifadhi ya Ngorongoro April 26, 2025.

Aidha katika safari hii Dodoma safari's Tour imekaa na kutathimini ili kuweza kuhakikisha wateja wake wanafurahia safari hii ya kitalii Kwa gharama nafuuu.

Gharama ya usafiri Itakuwa Tsh 200,000/= Kwa mtu mmoja

Gharama ambayo itahusisha
Usafiri wa kwenda na kurudi
Chakula, Malazi, Vinywaji, cruiser ya kutembelea mbugani, Muongoza watalii (professional tour guide) nk.

Gharama ambayo itahusisha
Usafiri wa kwenda na kurudi
Chakula, Malazi, Vinywaji, Muongoza watalii (professional tour guide) nk.

N.B
Kwa wanandoa, wapenzi watakaolipa kwa pamoja Gharama ya safari itapungua
Eg.Tsh 380,000/= badala ya Tsh 400,000/=
Mtoto 150,000/=

07/04/2025
BADO SIKU 25 SEASON 02 TWENZETU  MAMLAKA YA  HIFADHI YA NGORONGORO CRATER (TRIP TOUR NGORONGORO CONSERVATION AREA ) APRI...
01/04/2025

BADO SIKU 25 SEASON 02 TWENZETU MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO CRATER (TRIP TOUR NGORONGORO CONSERVATION AREA ) APRIL 26, 2025 SIKU 2 & USIKU .

Gharama ya usafiri Itakuwa Tsh 200,000/= Kwa mtu mmoja

N.B
Kwa wanandoa, wapenzi watakaolipa kwa pamoja Gharama ya safari itapungua
Eg.Tsh 380,000/= badala ya Tsh 400,000/=
Mtoto 150,000/=

Book mapema phone number 0620132606

NB: KULIPA KIDOGO KIDOGO INARUHUSIWA

Address

Dodoma

Website

https://www.youtube.com/@dstv373

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Safari's Tour posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Safari's Tour:

Share

Category