Kwekwivala Natural products

Kwekwivala Natural products Kwekwivala is a beeswax and honey based skin care products that moisturize and protect the skin

VALA BEESWAX PETROLEUM JELLY FOR BEST AND HEALTH SKIN FOR THE WHOLE FAMILY

Unachangamoto ya ngozi ? Umeungua na vipodozi, baridi au jua? Wanao wana ngozi zinazochagua mafuta? Je, ngozi yako ina m...
28/11/2024

Unachangamoto ya ngozi ? Umeungua na vipodozi, baridi au jua? Wanao wana ngozi zinazochagua mafuta? Je, ngozi yako ina matangatanga? Ngozi yako ina madoa? Umeungua na moto na unataka kutibu na kuondoa makovu? Una vidonda na upele na unataka kutibu na kuondoa Alamance zake? Mafuta ya nta ya nyuki yaitwayo VALA NI CHAGUA LAKO SAHIHI. JIPATIE BIDHAA HIYO NA SABUNI ZAKE ZA NTA NA ASALI KWA USTAWI WA NGOZI YAKO. KARIBU KWA MAWASILIANO 0784544706. TUPO KITWIRU-IRINGA.

Karibu bidhaa za Kwekwivala Products.  Muuzaji yupo job
09/08/2024

Karibu bidhaa za Kwekwivala Products. Muuzaji yupo job

30/01/2023
Welcome to our site! We produce and sale beewax based products and normal soaps that are of superior quality.  We produc...
10/01/2023

Welcome to our site! We produce and sale beewax based products and normal soaps that are of superior quality. We produce beewax jelly that are very curative in nature and the beewax honey soaps that serve the same purpose.We welcome all sellers both whole sellers and retailers. These are KWEKWIVALA PRODUCTS

We are situated at Kitwiru- Iringa, Tanzania.
P.O. BOX 904, IRINGA
Mobile: +255762595274

Kwekwivala industry Ni kiwanda kinachozalisha mafuta ya mgando yatokanayo na nta ya nyuki. Nafuta hayo yanaitwa vala bee...
12/12/2020

Kwekwivala industry
Ni kiwanda kinachozalisha mafuta ya mgando yatokanayo na nta ya nyuki. Nafuta hayo yanaitwa vala beeswax petroleum jelly. Ni mafuta yanayotibu ngozi zenye matatizo mbalimbali. Kwetu chunusi, mapunye, vidonda aina zote, ukurutu, madoa madoa ya kwenye ngozi, mba na fangasi. K**a unashida hizo usihangaike. Tupo kwa ajili ya afya ya ngozi yako.
Pia mafuta haya unatumia k**a mafuta ya kawaida kwa ulinzi wa ngozi yako.
MAKAMBAKO SOKO KUU-KILA IJUMAA
NJOMBE STAND YA ZAMANI- KILA JUMAMOSI
MAFINGA MNADANI- KILA JUMAPILI MAENEO YA MUCCOBA BANK.
Pia tunatuma mafuta haya kila yanapohitajika.
KWEKWIVALA NATURAL PRODUCTS FOR HEALTH AND BEST SKIN.

16/08/2020

Kwekwivala product for healthy and best skin. I Iove Kwekwivala product.

Karibu ujipatie mafuta mazuri sana ya asili yanayotokana na nta ya nyuki. Jina la mafuta yanaitwa vala beeswax petroleum...
04/07/2020

Karibu ujipatie mafuta mazuri sana ya asili yanayotokana na nta ya nyuki. Jina la mafuta yanaitwa vala beeswax petroleum jelly. Hii ni bidhaa ya Kwekwivala product katika kiwanda kipya Kitwiru -Iringa. Mafuta haya anaweza kutumia yeyote kuanzia mtoto hadi mtu mzima na jinsia zote. Mafuta yameaanza kusambazwa madukani. Mafuta haya yanatibu sana ngozi. Kuyatumia mafuta haya yanalinda ngozi yako usipatwe na chunusi, mapunye, madoa madoa ya kwenye ngozi, mabaka na miwasho miwasho. Pia yanaua fangasi na bacteria. Ukiwa tayari na matatizo haya ni hakika utapona. Usisumbuke na shida ya ngozi Tim is Kwekwivala product kwa uhakika as afya ya ngozi yako. Mawasiliano 0762595274

KWEKWIVALA PRODUCTS ni bidhaa zinazotengenezwa kwenye Kiwanda kilichopo Kitwiru-Iringa, Mtaa wa Uyole B, magharibi mwa s...
12/04/2020

KWEKWIVALA PRODUCTS ni bidhaa zinazotengenezwa kwenye Kiwanda kilichopo Kitwiru-Iringa, Mtaa wa Uyole B, magharibi mwa shule ya sekondari ya SDA.
Bidhaa moja wapo inayotengenezwa na kiwanda hicho ni mafuta ya mgando yanayo tengenezwa kwa NTA ya nyuki. mafuta hayo yanaitwa VALA BEEWAX PETROLIUM JELLY. mafuta haya ni yakujipaka mwili mzima na kwa familia zima.
FAIDA ZAKE:
1. kuondoa mapunye
2. kuondoa chunusi zilizoshindikana
3. kuponya vidonda kwenye ngozi
4. kuua fungus na bacteria kwenye ngozi
5. kuondoa miwasho kwenye mwili na kwenye ngozi
6. kuondoa makovu Kwenye ngozi,
7. kuondoa michirizi kwenye ngozi
8. kulainisha ngozi (ngozi inakuwa nyororo)
9. inawezesha ngozi kupumua vizuri kupitia vinyweleo, hayazibi vinyweleo.

Mafuta hayo yanaitwa MAFUTA DAWA kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuponya matatizo mbalimbali ya ngozi zaidi ya kazi ya kawaida.

mafuta hayo ni ya asili hayana chemical hataririshi. Acha kusumbuka hii ni fursa kwako na kwa afya yako.

faida zilizotajwa hapo juu ni uhakika acha kutapeliwa

karibuni wateja wote wa jumla na rejareja

MAWASILIANO:
0784544706/ 0762595274
S.L.P. 904,
IRINGA.

Kwekwivala products hi bidhaa zinazalishwa manicipaa ya Iringa, kata ya Kitwiru (Uyole B) magharibi mwa shule ya sekonda...
26/03/2020

Kwekwivala products hi bidhaa zinazalishwa manicipaa ya Iringa, kata ya Kitwiru (Uyole B) magharibi mwa shule ya sekondari ya Adventist wasabato. kampuni linazalisha mafuta safi yanayo tengenezwa na Nta ya nyuki. ni mafuta ya mgondo yenye uwezo mzuri sana wa kulainisha ngozi, kuondoa mapunye, kuponya vidonda, kuondoa miwasho kwenye nywele(mba) kuondoa michirizi, kuua bacteria na fungus Kwenye ngozi pamoja na kuondoa chunusi na makovu mwilini
Mafuta hayo hayana chemical. Ni Mafuta ya asili ambayo yanatumiwa na familia nzima kuanzia watoto hadi watu wazima.
kuna ujazo wa gram 50, 100, 200 na 300.
karibuni wanunuzi wa jumla a na rejareja. karibuni tujenge uchumi wa nchi yetu kwa kutumia bidhaa za kwetu. mzigo unaweza kutumwa ndani na nje ya mkoa wa Iringa. kwa mawasiliano tumia namba 0784544706.
Kwekwivala Product for health skin. welcome

17/02/2020

Mwaka 2016 nilikutana na mfugaji wa nyuki kwa Jina Elikana katika mkoa wa Mara, huyo mkulima alinielezea kuhusu ufagaji wa nyuki na faida zake.
Nilivutiwa sana na ufagaji wa nyuki. Nilifanya uchunguzi katika mitandao. Uchunguzi huo ulinipelekea kufanya hiyo shughuli ya ufugaji wa nyuki. Mwaka 2018 nilitafuta fundi wa kunitengenezea mizinga na kuanza kutengeneza. Mwaka 2019 nifanikiwa kutengeneza mizinga 102. Baada ya hapo, nilianza kutafuta mtaalam wa ufugaji nyuki kupitia mitandao. Baada ya muda mfupi nilifanikiwa kupata shirika la Ifulong Cultural Tourism lenye makao yake makuu Arusha. Shirika hili lilikuwa linajihusisha na ufugaji nyuki k**a njia ya kutunza mazingira. Pia shirika lilikuwa linatoa mafunzo ya ufugaji nyuki kwa wanaohitaji.
Nilienda Arusha kushiriki mafunzo nikiwa na mke wangu Lilian Daniel pamoja na rafiki yangu Ali Juma Ali. Tulipata mafunzo ya siku 5. Tulimkuta Esther Semchimba mmoja wa wataalam wanaotoa mafunzo. Alitufundisha ABC'S za ufugaji nyuki, lakini pia alitufundisha matumizi ya nta katika utengenezaji wa mafuta ya asili ya nta ya nyuki. Mwishowe niliweza kutengeneza nta yangu mwenyewe na kutengeneza mafuta ya nta ya nyuki yanayoitwa Kwekwivala Beewax moisturizing jelly.

17/02/2020

Hello and welcome to my business page! I'm a self-taught beekeeper with a mission to make skin care products that are natural and void of harmful chemicals, so all of the ingredients in my beeswax based moisturizing body jelly are completely natural. Kwekwivala makes skin softer, smoother, and provides many more benefits than this. I encourage you to contact me if you'd like to know how to purchase the product or give it a try. Currently Kwekwivala comes with either a lavender fragrance or unscented. Give this page a like and follow to stay updated as I come up with more variations to the product!

Address

Kitwiru
Iringa

Telephone

+255784544706

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwekwivala Natural products posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kwekwivala Natural products:

Share