Mafia Island Adventures

Mafia Island Adventures Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mafia Island Adventures, Tour Agency, Kilindoni, Kilindoni.

We are local specialized in tourist Safari in the Mafia Island of Tanzania:
we're organizing your safari and excursions both in land and sea around Mafia Island including whale shark tour, cultural village tour, beach holidays, ruins tour, birding etc

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Tanzania  umeilinda. I will always love you.Pumzika shujaa
18/03/2021

Umevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo umeumaliza, Tanzania umeilinda. I will always love you.
Pumzika shujaa

Habari zenu!Kesho jumamosi tarehe 13/03/2021 kwenye ukumbi wa Magereza kuanzia saa nne asubuhi kutakua na mkutano wa bar...
12/03/2021

Habari zenu!

Kesho jumamosi tarehe 13/03/2021 kwenye ukumbi wa Magereza kuanzia saa nne asubuhi kutakua na mkutano wa baraza la madiwani wa halmashauri yetu ya wilaya ya Mafia.

Baraza hili litaketi kwa ajili ya kujadili na kupitisha makisio ya bajeti ya halmashauri kwa mwaka wa fedha 2021/22 sambamba na kupitisha tozo mpya na vipimo.
Napenda kuchukua fursa hii kuwakaribisha wote mfike kusikiliza na kujua kipi kimeidhinishwa kwenda kutekelezwa na halmashauri yetu kwa mwaka ujao wa fedha.

Ahsante
Juma Salum-Mwenyekiti Mafia DC

09/03/2021

Visit Mafia island

Ushoroba festival
08/03/2021

Ushoroba festival

Thanks Hon
08/03/2021

Thanks Hon

Kwa kipindi cha wiki moja iliyopita nimekua niko nje ya Mafia kuhudhuria vikao kadhaa ikiwemo kikao cha halmashauri kuu ...
08/03/2021

Kwa kipindi cha wiki moja iliyopita nimekua niko nje ya Mafia kuhudhuria vikao kadhaa ikiwemo kikao cha halmashauri kuu ya mkoa wa ccm, vikao vya Alat mkoa wa pwani sambamba na kikao cha wadau wa maji kilichoandaliwa na mamlaka ya maji vijijini.
Kando ya vikao hivyo leo nilitenga muda wangu binafsi kwenda kuhudhuria maonyesho ya utalii kisarawe maarufu k**a Ushoroba festival kwa mwaliko Dc wa Kisarawe mh Jokate.

Yalikua ni maonyesho yaliyofana kwa muda wa siku tatu na sisi watu wa Mafia tuliyatumia vizuri kuitangaza Mafia kwa kuhakikisha tunatumia kila jukwaa kutangaza fursa za utalii na uwekezaji zilizopo Mafia ili tuongeze idadi ya watalii Mafia pamoja na wawekezaji watakaokuja kuwekeza Mafia na kuinua hali ya kipato cha mtu mmoja mmoja na halmashauri kwa ujumla.
Kipekee kabisa napenda kumshukuru sana Mh Jokate kwa msaada wake wakutupatia bure Banda ambalo wadau wa utalii Mafia Afro whale shark safaris pamoja na Mafia island marine park wamelitumia kutangaza vivutio vya utalii vya Mafia hasa utalii wa papa potwe.

08/03/2021
Headlines
06/03/2021

Headlines

05/03/2021

This is Mafia island. Karibu sana

Tuliahidi, tunatekeleza. Kwenye kampeni nilikutana na hawa vijana wa msufini Bondeni wanaojiita 'Mkubwa hapangwi'. Walih...
01/03/2021

Tuliahidi, tunatekeleza. Kwenye kampeni nilikutana na hawa vijana wa msufini Bondeni wanaojiita 'Mkubwa hapangwi'. Walihitaji mpira kwa ajili ya football na netball pamoja na radio kwa ajili ya kufanyia mazoezi ya kuimba na kuchana. Hapa nikitimiza ahadi.

Kidumu chama cha mapinduzi

Address

Kilindoni
Kilindoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafia Island Adventures posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category