The district of Kilwa in Tanzania is situated at 330 km to the south of Dar es Salaam and 290 km to the east of Selous game reserve. Kilwa Kisiwani and Songo Mnara Islands are one of the most impressive Port City of the east Africa. An unesco world heritage site list in 1981. A association of tour guides named Kilwa Islands Tour welcome you in Kilwa Masoko and help you to organize your holidays
in Kilwa : Historical guided tour, bird watching, biking, scubadiving, Swahili life discovering. wilaya ya Kilwa ipo kusini mwa Tanzania kilomita 330 kutoka Dar es salaam na nikilomita 290 mashariki mwa hifadhi ya Selous. Visiwa vya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara ni miongoni mwa bandari zinazovutia katika miji ya Africa mashariki. Iliingizwa kwenye orodha ya urithi wa dunia mwaka 1981.Kikundi cha waongoza watalii kinachoitwa Kilwa Island Tour inawakaribisha wote Kilwa Masoko na itawasaidia kupangilia shughuli zote za kitalii wakati wa likizo zenu ndani ya kilwa;
k**a vile;uongozaji katika sehemu za kihistoria, utalii wa ndege, safari za baiskeli,utalii wa baharini na kuweza kuona Maisha ya waswahili.