18/08/2026
Kufuatia Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Sasa Makampuni ya Mabasi yametii na kuhamia Mbezi, Shekilango hakuna Kazi tena
Ila kutokana na uboreshaji wa Huduma zetu kwa wateja sasa unaweza kukata Tiketi yako Kidigitali ukiwa Nyumbani kwako na kwenda Mbezi moja kwa moja kupanda Basi kwaajili ya Safari yako.
Tembelea kwenye Tovuti yetu π(Au kwa Kubonyeza Link iliyopo BIO/Profile)
https://mbeya9safari.vercel.app/safari