Mbeya Home of Tourism

Mbeya Home of Tourism Travel makes one modest, You see what a tiny place you occupy in the world. This page is dedicated

Mbeya is one of the regions found in Tanzania, it is located on the south west of Tanzania mainland, common known as southern highland. its bordered with four regions RUKWA, TABORA, IRINGA, RUVUMA, The region is administratively divided into eight districts CHUNYA, ILEJE, KYELA, MBARALI, MBEYA, MBOZI, MOMBA and RUNGWE.

Chikanda safaris kwa kushirikiana na Hifadhi ya Mpanga kipengere leo siku ya jumatano ya tarehe 06/12/2023 tumezindua ka...
06/12/2023

Chikanda safaris kwa kushirikiana na Hifadhi ya Mpanga kipengere leo siku ya jumatano ya tarehe 06/12/2023 tumezindua kampeni ijulikanayo k**a Mpanga kipengere uni retreat katika chuo cha utumishi wa Umma.

Uzinduzi huu uliudhuliwa na Mkuu wa Hifadhi ya Mpanga kipengere Donasian Makoi, Afisa Utalii Adelard Tesha, Serikali ya wanafunzi chuo cha utumishi wa Umma, Mkurugenzi Chikanda safaris Amos Mwamugobole, Mkurugenzi Mazplusfly Zakaria Mgallah, pamoja na Mkurugenzi wa Photobank studio Exavery Mwakagali

Lengo la kampeni hii ni kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vya Mkoa wa Mbeya kuweza kutembelea Hifadhi ya Mpanga Kipengere iliyopo kati ya mkoa wa Mbeya na Njombe.

Mpanga Kipengere uni retreatKuelekea Msimu huu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya Chikanda safaris & adventure kwa kus...
05/12/2023

Mpanga Kipengere uni retreat

Kuelekea Msimu huu wa sikukuu za Krismasi na mwaka mpya Chikanda safaris & adventure kwa kushirikiana na Tunakuletea kampeni ya kuhamasisha wadau na wanafunzi wa vyuo vya mkoa wa Mbeya kutembelea Hifadhi ya Mpanga kipengere.

Kampeni hii ijulikanayo k**a Mpanga kipengere Uni retreat, imelenga kutangaza vivutio vyote vilivyomo ndani Hifadhi k**a vile Maporomoko ya Maji Kimani, Maporomomo ya maji Nyaugenge, Maporomoko ya maji Lyamakonohila, Pango la Chifu mkwawa pamoja na uwanda wa Maua Ibaga.

Kampeni hii imepanga kuwagusa wanafunzi na wadau mbalimbali ambayo itaishia kwa kuwapeleka wanafunzi hao katika

20/10/2022

Waogeleaji wakiogelea kwa mitindo mbalimbali Mkurugenzi Gwankaja Farm Lodge, Mr. Adam Gwankaja akiogelea kwa madaha. Zakaria Mga...

22/03/2022

Mwami Daniel Mkurugenzi Nancy Tours LTD Akiwa Kisiba Campsite Sophia Azizi akiwa kwenye enao la Maporomoko ya Maji ya Kapologwe, Yapatikanay...

29/12/2021

Mbeya, Tanzania, familyreunion, Matemabeach, Kisibacampsite, mbeyariftvalleyviewingpoint

23/05/2021

Maporomoko ya Maji Malamba yanapatika katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya.Video hii ya maporomoko ya maji Malamba imerekodiwa na Kutengenezwa...

02/05/2021

Ziwa Nyasa ni Moja ya maziwa Makubwa Afrika Mashariki, Maziwa mengine ni pamoja na Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika. Ukiwa Malawi ziwa Nyasa...

30/04/2021

Maporomoko ya maji Malamba yanapatikana katika kijiji cha Malamba kata ya Suma Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya, Maporomoko haya...

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbeya Home of Tourism posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mbeya Home of Tourism:

Share

Category