Mkuu Cultural Tourism

Mkuu Cultural Tourism Come and discover our culture, beauty of nature, local cuisine & lifestyle en route Rongai & Lake Chala, and support locals.

Cultural Immersions | Cultural Preservation | Authentic Sustainable Cultural Experience | Rural Life Experience | Off-the-Beaten Path | Rombo - Lake Chala - Tanzania Mkuu Cultural Tourism is a youth and women-led enterprise with the goal to preserve the cultural heritage of the village and to make sure the traditions keep on living.

A row of calabash gourds, Karibu Mkuu Cultural center for authentic  Chagga cultural experince.
04/09/2026

A row of calabash gourds, Karibu Mkuu Cultural center for authentic Chagga cultural experince.

02/09/2026

Karibu utembelea Nyumba ya Asili ya Wachagga wa Rombo na kujionea maisha, mila na desturi za jadi zilizorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Hapa utajifunza historia na utamaduni halisi wa Wachagga katika mazingira ya kipekee ya Rombo, pia kupiga picha na matembezi kijijini.

Vyakula vya Asili, Afya Yetu na Urithi WetuKutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza, kuna umuhimu wa kuendelea...
23/08/2026

Vyakula vya Asili, Afya Yetu na Urithi Wetu
Kutokana na kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza, kuna umuhimu wa kuendelea kuelimisha jamii kuhusu ulaji bora na athari za ulaji usiofaa wa vyakula vya kisasa.
Tuirudishe jamii katika matumizi ya vyakula vya asili ambavyo vimekuwa sehemu ya maisha na utamaduni wetu kwa vizazi. Vyakula hivi vina thamani kubwa katika lishe, afya na urithi wa jamii. Pia, tuhimize utunzaji, uzalishaji na uhifadhi wa vyakula vya asili ili viendelee kunufaisha kizazi cha sasa na kijacho.

Picha: Mjongeo (nduu/mamaya), mojawapo ya vyakula vya asili vinavyopatikana katika jamii za Wachaga.
Tupende asili, tulinde vyakula vyetu, na tuhifadhi utamaduni wetu.
Karibuni Rombo kwa utalii wa tamaduni, kujifunza mila na desturi, pamoja na kugundua urithi wa Wachaga wa asili.

21/08/2026

Jionee maisha halisi ya kiutamaduni ya Rombo, mazingira halisi, mila, desturi, chakula cha asili, jamii na mandhari ya kuvutia ya Kilimanjaro. Hapa, utamaduni hauonyeshwi tu; unaishi na jamii kila siku.

****************************
Discover the real cultural life of Rombo, authentic surroundings, traditions, local food, community life, and stunning Kilimanjaro landscapes. Here, culture is not simply presented; it is lived every day.

14/08/2026

Discover the Heart of Chagga Culture at Mkuu Cultural Center! Your perfect stopover when entering Tanzania from Nairobi via Oloitoktok-Tarakea Border! Or Climbing Kilimanjaro through Rongai Route

Experience authentic village life on the slopes of Mount Kilimanjaro with locals. From traditional cooking classes and Chagga dances to hiking through coffee & banana plantations, every moment is real, warm, and unforgettable.

Come for the culture, stay for the connection!

📍 Mkuu, Rombo, Kilimanjaro

📲 WhatsApp: +255 629 952 842
✉️ [email protected]

yakula vya asili kwa afya bora na kulinda tamaduni za wazawa.
13/08/2026

yakula vya asili kwa afya bora na kulinda tamaduni za wazawa.

07/08/2026

Step off the tourist path and experience the real spirit of Mkuu Rombo. Meet welcoming locals, discover Chagga traditions, enjoy authentic food, and create memories through genuine cultural connections.

Book your cultural immersion today!

Address

Mkuu Rombo
Mkuu
50

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 16:00
Sunday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkuu Cultural Tourism posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mkuu Cultural Tourism:

Shortcuts

Share