Down to Africa tours

Down to Africa tours Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Down to Africa tours, Tour Agency, Ifakara Town, Morogoro.

13/06/2022

Break before part 2

Video cc

JITAMBUE  Part 1Okay, 🙋🏿‍♂️🙋‍♀️njoo tuandae mchoro✍️ wa mchakato wa wewe kufikia malengo uliyojiwekea na kuamua kwa dhat...
11/06/2022

JITAMBUE Part 1
Okay, 🙋🏿‍♂️🙋‍♀️njoo tuandae mchoro✍️ wa mchakato wa wewe kufikia malengo uliyojiwekea na kuamua kwa dhati kabisa kuyafikia.
Tambua kuwa huu ni mchakato wa kufanya ama wakati mwingine  mchakato wa kuacha kufanya.  Daraja ama kizuizi kati yako na malengo yako ni tabia yako.
Je unahitaji kuacha kufanya jambo fulani ili mchakato wako wa kuelekea kutimiza malengo yako usiwe wa umejizungurusha na kukufanya kurudia hatua fulani kila unapojaribu kusonga mbele?  Halikadhalika je unahitaji kuanza kufanya jambo fulani ili mshale 🏹wako wa kuelekea malengo yako upite katika uelekeo wenye manufaa kuelekea kutimiza malengo yako?
Kwa lugha nyepesi, je ni tabia gani unahitaji kuziacha, ama unahitaji kuanza kuziishi katika maisha yako ili kuweza kuendelea kuelekea kutimiza ndoto malengo yako?
Maisha yako siku zote yanaangukia katika kanunu hii
"WEWE➡️CHAGUO(MAAMUZI) ➕️ TABIA (TENDO)➕️MWENENDO (MUENDELEZO WA TENDO) ➕️ MKUSANYIKO WA ZAO LA CHAGUO (MUDA)⏯️ MALENGO"🏁
Ndiyo maana ni muhimu kubaini ni tabia gano zinazokuzuia🚫 usifikie malengi. Na je ni tabia gani zinazoweza kuusaidia kufikisha  hivyo Unaweza kudhani umemudu kudhibiti tabia zote, SIKWELI.✖️

10/04/2019

There is the race that I must run, there are victories to be won, give me power, every hour, to be true
07/10/2018

There is the race that I must run, there are victories to be won, give me power, every hour, to be true

  trata be Successful na look successful
26/08/2018

trata be Successful na look successful

Pumbaaa @ Kisaki Fort, Morogoro, Tanzania
10/08/2018

Pumbaaa @ Kisaki Fort, Morogoro, Tanzania

16/07/2018

Happy Father's Day,
17/06/2018

Happy Father's Day,

What have you make today, to make the day count?
09/06/2018

What have you make today, to make the day count?

Ancient & New Era  @ Mtimbira, Iringa, Tanzania
25/05/2018

Ancient & New Era @ Mtimbira, Iringa, Tanzania

👂👀👣➡🌍➡🌎➡🌏🎓
21/05/2018

👂👀👣➡🌍➡🌎➡🌏🎓

Amazing Tz @ Morogoro, Tanzania
20/05/2018

Amazing Tz @ Morogoro, Tanzania

Address

Ifakara Town
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Down to Africa tours posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category