24/10/2026
TWENZETU NYERERE NATIONAL PARK!
Twende tukasalimie vilivyopo mbugani!
Unahitaji mapumziko kutoka kwenye pilikapilika za Dar es Salaam? Jiunge nasi kwenye safari ya siku mbili na usiku mmoja kwenda Nyerere National Park, tarehe 12–13 Desemba 2026.
Furahia mandhari ya pori la Afrika, wanyamapori katika mazingira yao ya asili na safari ya boti wakati wa machweo kwenye Mto Rufiji.
Kifurushi kinajumuisha:
- Usafiri wa kwenda na kurudi kutoka Dar es Salaam
- Game drive ya siku nzima
- Sunset boat safari kwenye Mto Rufiji
- Malazi ya usiku mmoja
Bei: TSh 350,000 kwa mtu
Kwa Watanzania na wakazi wa Afrika Mashariki.
Mahali pa kuanzia: Mlimani City, Dar es Salaam
Tarehe: 12–13 Desemba 2026
Nafasi zimebaki chache! Wahi kuweka nafasi yako ili usikose safari hii. Ni wakati wa kukutana na marafiki, kufurahia mazingira ya asili na kutengeneza kumbukumbu nzuri pamoja.
Kwa booking na maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia WhatsApp: +255 621 210 268.
CHEERS AFRICA EXPEDITIONS