12/08/2023
Ndg *Wanariadha, Familia* , na wapenzi wote wa *Uhifadhi* na *Utalii Tanzania.* Tunawakatibisha kushiriki mbio za *Serengeti Migration Marathon and Anti-poaching Run 2023* msimu wa 4 mwezi *October 7-8* Mbio pekee zinazofanyika Kwa siku mbili mfukulizo.
*Mugumu na Fort Ikoma Serengeti NP/Ikorongo & Grumeti Game Reserves*
Kwa taarifa zaidi kuhusu mandalizi na usajili, ungana nasi kupitia kundi maalum la *Uhamasishaji* na *USAJILI* kupitia kiunganishi hicho hapo chini👇👇
Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/D3y333X77JjDMb57GpNM6u