Lau Tours & Safaris

Lau Tours & Safaris Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Lau Tours & Safaris, Tour guide, Mwanza.

We offer:> Trekking & hiking to Uluguru mountain, Udzungwa, Usambara,Meru & Kilimanjaro
>Safari to Saanane Island N.p, Serengeti, Rubondo Island N.p, Mikumi, Selou, Udzungwa, Ruaha, Tarangire, Ngorongoro & all National parks

Karibu Lau Tours & Safaris kutembelea hifadhi za Taifa Tanzania kwa gharama nafuu sana Msimu huu wa mapumziko.je umemuon...
22/07/2026

Karibu Lau Tours & Safaris kutembelea hifadhi za Taifa Tanzania kwa gharama nafuu sana Msimu huu wa mapumziko.

je umemuona Konde boy akiwa ametulia na familia yake?

16/01/2026

� VALENTINE SERENGETI GETAWAY TOUR �
Safari ya Mapenzi, Burudani na Kumbukumbu za Kipekee ��
Valentine hii, acha maua na chokoleti �
� Chagua Safari ya Mapenzi katikati ya uzuri wa Serengeti
� Tarehe: 14 – 15 Februari 2026
� Muda: Siku 2 / Usiku 1
� Starting Point: Kemondo Garden – Mwanza
� GHARAMA:
� Tsh 370,000/= kwa Mtu
� PACKAGE INAJUMUISHA:
� Usafiri wa Gari la Kitalii
� Viingilio vya Hifadhi ya Serengeti
� Malazi – TANAPA Cottages
� Chakula
� Vinywaji
� Picha (Photos)
� Professional Tour Guide

� ENTERTAINMENT & BURUDANI:
� Games
� Love Story Moments
� Fun Challenges
� Karaoke Night

� OFA MAALUM KWA COUPLES:
� Surprise maalum kwa wapendanao

� MALIPO:
� YAS – LIPA NAMBA: 7401007
� TOURS AND SAFARIS
� Deadline ya Malipo: 11 Februari 2026

� MAWASILIANO:
� +255 659 699 611
� +255 626 319 996

� Sherehekea Valentine’s Day kwa style ya kipekee katikati ya uzuri wa Serengeti
� Love • Vibes • Memories


03/09/2025

🌿 TARANGIRE NATIONAL PARK 🌿

Tarangire ni maarufu k**a Paradise of Elephants 🐘 kutokana na idadi kubwa ya tembo wanaopatikana ndani ya hifadhi hii.
📍 Ndani ya hifadhi hupita Mto Tarangire, chanzo muhimu cha maji kinachovutia maelfu ya wanyama hasa wakati wa kiangazi.

Ukiwa Tarangire utashuhudia:
✨ Makundi makubwa ya tembo
✨ Mandhari maridadi yenye miti ya mibuyu 🌳
✨ Wanyama mbalimbali k**a simba, twiga, nyumbu, pundamilia na ndege zaidi ya aina 550 🦅

Tarangire sio tu hifadhi, bali ni ukweli wa uzuri wa asili ya Tanzania 🇹🇿.

kwa mawasiliano zaidi piga simu/Whatsapp
☎️: +255 659 699 611
📧: [email protected]

🇹🇿

Serengeti National Park
13/07/2025

Serengeti National Park

🌸 RUN FOR HEDHI SALAMA 🌸Tarehe 1 Juni 2025 tunakutana City Link Complex – Buswelu, kuungana kwa ajili ya kuhamasisha afy...
30/05/2025

🌸 RUN FOR HEDHI SALAMA 🌸
Tarehe 1 Juni 2025 tunakutana City Link Complex – Buswelu, kuungana kwa ajili ya kuhamasisha afya salama ya hedhi kwa wasichana na wanawake nchini.

Sisi k**a Lau Tours & Safaris, tukijivunia kuwa miongoni mwa wadhamini wa tukio hili, tutakuwepo kuhakikisha kila mshiriki anafurahia mbio hizi kwa furaha, usalama na hamasa kubwa! 💃🏽🏃🏾‍♂️🎉

🗓 Siku: Jumapili, 1 Juni 2025
🕕 Muda: Saa 12:00 asubuhi
📍 Mahali: City Link Complex - Buswelu

Jiunge nasi! Kimbia kwa ajili ya mabadiliko chanya.

𝐀𝐬𝐡 𝐖𝐞𝐝𝐧𝐞𝐬𝐝𝐚𝐲"𝐑𝐄𝐌𝐄𝐌𝐁𝐄𝐑 𝐓𝐇𝐀𝐓 𝐘𝐎𝐔 𝐀𝐑𝐄 𝐃𝐔𝐒𝐓 𝐀𝐍𝐃 𝐓𝐎 𝐃𝐔𝐒𝐓 𝐘𝐎𝐔 𝐒𝐇𝐀𝐋𝐋 𝐑𝐄𝐓𝐔𝐑𝐍"𝐄𝐜𝐜𝐥𝐞𝐬𝐢𝐚𝐬𝐭𝐞𝐬 𝟑:𝟐𝟎
05/03/2025

𝐀𝐬𝐡 𝐖𝐞𝐝𝐧𝐞𝐬𝐝𝐚𝐲
"𝐑𝐄𝐌𝐄𝐌𝐁𝐄𝐑 𝐓𝐇𝐀𝐓 𝐘𝐎𝐔 𝐀𝐑𝐄 𝐃𝐔𝐒𝐓 𝐀𝐍𝐃 𝐓𝐎 𝐃𝐔𝐒𝐓 𝐘𝐎𝐔 𝐒𝐇𝐀𝐋𝐋 𝐑𝐄𝐓𝐔𝐑𝐍"

𝐄𝐜𝐜𝐥𝐞𝐬𝐢𝐚𝐬𝐭𝐞𝐬 𝟑:𝟐𝟎

SAANANE ISLAND NATIONAL PARKHifadhi ya Taifa Kisiwa Cha Saanane ni hifadhi ndogo kuliko zote Tanzania 🇹🇿. lenye Eneo la ...
03/03/2025

SAANANE ISLAND NATIONAL PARK

Hifadhi ya Taifa Kisiwa Cha Saanane ni hifadhi ndogo kuliko zote Tanzania 🇹🇿. lenye Eneo la Kilometa za mraba 2.18

Hifadhi pekee inayo patikana Mjini katika Mkoa wa Mwanza ikiwa inavutia zaidi kwa uwepo wa Ziwa Victoria.

Karibuni Sana kutembelea hifadhi za Taifa kupata marafiki wapya kukuza biashara yako kwa kukutana na watu mbalimbali.

SAANANE ISLAND NATIONAL PARKWageni wakiwa wanawasili ndani ya hifadhi ya Taifa kisiwa Cha Saanane kwaajili ya kuanza Uta...
03/03/2025

SAANANE ISLAND NATIONAL PARK

Wageni wakiwa wanawasili ndani ya hifadhi ya Taifa kisiwa Cha Saanane kwaajili ya kuanza Utalii wa matembezi ya miguu hifadhini pamoja na kupata elimu kuhusu Utalii na mwisho historia ya hifadhi kwa Ujumla.

Utalii unaanzia hapa wageni wakishuka kwenye Boti baada ya kuwasili kisiwani.

Karibuni Sana kutembelea hifadhi za Taifa Tanzania 🇹🇿

Kwa Mawasiliano zaidi piga Simu/Whatsapp:
☎️: +255 659 699 611
📧: [email protected]
IG:

Address

Mwanza

Telephone

+255659699611

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lau Tours & Safaris posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Lau Tours & Safaris:

Shortcuts

Share

Category