Tanzania Safari Channel

Tanzania Safari Channel Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Safari Channel, Travel Company, Mwanza.

The snow on Mount KilimanjaroHere Is Tanzania / Africa
18/08/2026

The snow on Mount Kilimanjaro

Here Is Tanzania / Africa

18/08/2026

Mtalii kutoka Uswisi, Yannic Hofmann, mwenye umri wa miaka 27, amekuwa akitumia baiskeli kutalii Afrika kwa takribani miezi mitatu.

Akizungumza na Tanzania Safari Channel Digital, Yannic amesema katika safari yake amepitia Kenya, Uganda na Rwanda kabla ya kuingia Tanzania, akieleza kuwa anapendelea kutumia barabara ndogo za vijijini kuliko barabara kuu.

Amesema baada ya Tanzania, anatarajia kuendelea na safari yake katika nchi nyingine za Afrika, zikiwemo Zimbabwe, Botswana, Namibia, Afrika Kusini na Madagascar.

Yannic amesema sababu kubwa ya kuchagua kutalii Afrika kwa baiskeli ni kutaka kuifahamu Afrika kwa karibu zaidi, kukutana na watu, kuona wanyamapori na mandhari mbalimbali.

Aidha, amesema safari hiyo inalenga pia kubadili baadhi ya mitazamo ambayo watu wengi barani Ulaya wanaweza kuwa nayo kuhusu Afrika.

Amesema uzoefu wake katika safari hiyo umemsaidia kuona kuwa baadhi ya taswira aliyokuwa nayo kuhusu Afrika haikuwa sahihi kwa kila kitu, huku akieleza kuwa baadhi ya watu wenye ukarimu zaidi aliokutana nao ni wale wanaoishi maeneo ya vijijini.

Kuhusu Tanzania, Yannic amesema tayari amejifunza baadhi ya maneno ya Kiswahili, yakiwemo “Asante”, “Karibu” na “Karibu sana”. Pia ametaja chipsi mayai kuwa miongoni mwa vyakula vya Tanzania alivyovipenda.

Safari ya Yannic inaendelea huku akitarajia kutembelea maeneo na nchi mbalimbali za Afrika kwa kutumia baiskeli.

Je, wewe unaweza kujaribu utalii wa aina hii kuichunguza Afrika kwa baiskeli? Au safari ya Yannic imekuacha na maswali mengi kichwani?

17/08/2026

Katavi National Park is home to hippos, and Alaya has truly enjoyed watching these magnificent animals.

📍Katavi National Park


17/08/2026

Giants of the wild roaming freely in Katavi National Park.

📍 Katavi National Park

17/08/2026

What a great day for Alaya to plant a tree at the Katavi Regional Office, marking a meaningful step toward environmental conservation and a greener future.

16/08/2026

After arriving in Stalike, the first village in the Katavi Region, Alaya received a warm and memorable welcome from the local community. The people of Stalike showed him the true hospitality, unity, and spirit of Katavi as he continued his journey of peace and tourism.

Alaya akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, akishuhudia kwa karibu uzuri wa mazingira na utajiri wa wanyamapori wa hi...
15/08/2026

Alaya akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, akishuhudia kwa karibu uzuri wa mazingira na utajiri wa wanyamapori wa hifadhi hiyo. 🇹🇿🦁

15/08/2026

The river turns into a battlefield! 🦛🌊

12/08/2026

Saddam Suleiman Alaya wishes Tanzanians a joyful celebration of the Kizimkazi Festival.

Alaya says Tanzania is blessed with richness in every aspect, especially its diverse cultures, delicious traditional foods, and welcoming people.

He encourages everyone to continue celebrating and sharing Tanzania’s cultural heritage with the world, as it plays an important role in promoting peace, unity, and tourism.

12/08/2026

Alaya has just arrived in Katavi National Park! Stay tuned for lots of exciting surprises as his journey continues. 🇹🇿🔥

Address

Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Safari Channel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category