Desho Enterprises

Desho Enterprises 🚜

"Tunajenga kesho bora kwa chakula chenye afya kupitia kilimo endelevu!

Karibu kwenye safari yetu ya mboga mboga na matunda safi kutoka shamba letu. 🌱💚"

we are deal with packing materials and supplying inside and outside of the country

20/05/2026

Kazi iendelee! Leo ni Mchumo wa 5 shambani 🥒🔥

​Angalia video hiyo uone mzigo unavyovunwa ukiwa bado mbichi kabisa! Wateja wetu wa jumla na wale wa rejareja, leo mzigo ni mwingi na wa viwango vya juu mno.

​K**a unataka mzigo safi wa matango uliotoka shambani leo, usichelewe. DM au piga simu sasa hivi kupata mgao wako!

19/05/2026

Lunch Time

16/05/2026

Mchumo wa 4: Shamba Limejibu! 🥒🔥

​Leo tumefanya mchumo wa nne wa matango yetu, na kwa hakika huu umekuwa mchumo mkubwa na wa neema sana! Matango ni mengi, yana vigezo na ubora wa hali ya juu kabisa.

​Mzigo upo tayari kwa ajili ya sokoni. Wateja wetu wa jumla na rejareja, karibuni sana mjipatie matango safi na ya kisasa yaliyonyooka!

​ Safi

Nahitaji msaada wa haraka na hawa wadudu wanaoharibu matango yangu. Ikiwa unawatambua, tafadhali shiriki vidokezo vya ud...
12/05/2026

Nahitaji msaada wa haraka na hawa wadudu wanaoharibu matango yangu. Ikiwa unawatambua, tafadhali shiriki vidokezo vya udhibiti. Asante.

05/05/2026
Happy Sunday all
03/05/2026

Happy Sunday all

🌍 Heri ya Mei Mosi 💪Hapa kazi tu! 🚜🌾Kila jasho lina thamani 🇹🇿
01/05/2026

🌍 Heri ya Mei Mosi 💪
Hapa kazi tu! 🚜🌾
Kila jasho lina thamani 🇹🇿

🌱 World Earth Day 🌍K**a wakulima na wajasiriamali, tunategemea sana mazingira.Tuchague kilimo rafiki kwa mazingira—tulin...
22/04/2026

🌱 World Earth Day 🌍
K**a wakulima na wajasiriamali, tunategemea sana mazingira.
Tuchague kilimo rafiki kwa mazingira—tulinde ardhi, maji na hewa.
Leo tunapanda mti, kesho tunavuna maisha 🌿

Address

318
Old Moshi
255

Telephone

+255692436907

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Desho Enterprises posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share