Mountain tour safari

Mountain tour safari In spite of its natural beauty, the Tanzania tourism sector still remains relatively untapped, receiving approximately 600,000 visitors per annum compared

01/12/2024

Battle three Lionnes vs Crocodile

BOB KILLER MFALME MPYA SERENGETI Ni Simba ambaye amepewa jina Hilo baada ya kutekeleza mauaji ya kumuua Bob Junior akish...
23/03/2023

BOB KILLER MFALME MPYA SERENGETI

Ni Simba ambaye amepewa jina Hilo baada ya kutekeleza mauaji ya kumuua Bob Junior akishirikiana na wenzake 6,tayari anamiliki Mtoto wa Bob Junior (Marehemu)K**a mke wake.

Taarifa inasema kuwa Bob Killer ambaye ndiye aliyekuwa kiongozi tangu Alipomuua Bob Junior alikuwa na Simba jike ambaye ni Mtoto wa Marehemu Bob Junior na Leo hii amekubaliwa kuanza kumpanda huku Hali hiyo ikitarajia kudumu kwa kipindi Cha Miezi 2/3 kabla ya Simba Jike kukubali kubeba mimba na kuzaa na mbabe huyo

Kwa Sasa wanafanya tu mapenzi huku jike akiwa anasubiria kuona K**a Dume huyo ndiye atadumu kwenye utawala au atapinduliwa hivyo Ni lazima wakae Miezi 2/3 Kisha akiweza kufikisha kipindi hicho bila kupinduliwa ndipo ataweza kuzaa na kuendeleza kizazi.

Alama zilizopo katika mdomo wa Simba Huyo (Bob Killer) ndizo zinazowafanya watalii kumtambua na kumpa jina hilo

Never forget the three powerful resources you always have available to you: love, prayer, and forgiveness.
08/12/2022

Never forget the three powerful resources you always have available to you: love, prayer, and forgiveness.

16/03/2022

Great moment

12/12/2021

The great serengeti

Simba wanavomuwinda Twiga kwa kutumia mbinu mbalimbali hadi kumwangusha japo huwa wanakuwa pride nzima. na pride nzima i...
25/08/2021

Simba wanavomuwinda Twiga kwa kutumia mbinu mbalimbali hadi kumwangusha japo huwa wanakuwa pride nzima. na pride nzima inaweza kuwa hata na Simba hadi 16 kutokana na upatikanaji wa chakula kwenye eneo hilo.Twiga silaha yake kubwa dhidi ya maadui zake ni mateke yote ya mbele na ya nyuma anapiga kote k**a bruce lee hivi. teke lake moja akilirusha sawa sawa na likampata Simba basi hawezi kupona ni atakufa hamna namna maana teke la Twiga lina uzito wa 250kg ambapo ni sawa na uzito wa Simba mkubwa tena dume mwenye afya yake ndio huwa anafika 250kg. Japo Simba wanafanikiwa kuwawinda Twiga ni kwa mbinu walizokuwa nazo na pia ule umoja wao basi ila ndio ikatokea kajichanganya akapigwa shughuli imeisha Twiga usimuone mpole ana balaa huyo.

04/04/2021

Re post

16/12/2020

Nyati huwa wanatabia ya kuwatenga wenzao ambao huonekana wazee na hawana msaada katika kundi, sasa ogopa sana kukutana na hao nyati huwa ni wana hasira na ni hatari mnoooooo, mcheki huyo mwamba alivyowaletea balaaaa

21/11/2020

“In what terms should we think of these beings, nonhuman yet possessing so very many human-like characteristics? How should we treat them? Surely we should treat them with the same consideration and kindness as we show to other humans; and as we recognize human rights, so too should we recognize the rights of the great apes? Yes”

Dr. Jane Goodall

28/10/2020



Tunajithd sanaa kutoa elimu ya wanyama na tabia zao sasa hpo ni dhahir unaweza jifunza kitu...

Simba akiwa ktk misele akakutana na wageni nao kto misele yao wakienda kumchek

Simba akajua diko kupiga jino anash2ka upepo kumbe katia pancha haha

12/10/2020


Discover Tanzania, a majestic country deep in the heart of Africa, and explore a land of adventure and serenity! 💙 Travel safely to Tanzania with ...

Address

P. O. BOX 13912
Old Moshi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755632428

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mountain tour safari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mountain tour safari:

Share

Category