Chasuchedi Adventures

Chasuchedi Adventures Send a message

Hingilili river.
01/03/2026

Hingilili river.

27/06/2025
17/01/2024

Meli ya kitalii ya Norwegian Down ikiwa na Watalii zaidi ya 2,000 kutoka Nchi mbalimbali imetia nanga katika Bandari ya Dar es salaam leo January 16, 2024 na kushusha Watalii hao ambao watatembelea Mikoa ya Dar es salaam na Pwani kutalii katika maeneo tofauti.

Mmoja wa Watalii hao ameiambia AyoTV kwamba safari ilianzia Qatar na kila mmoja amelipia kiasi kisichopungua pound 3500 ambayo ni zaidi ya Tsh. milioni 11.

Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es salaam, Mrisho Mrisho amesema uwezo wa meli hiyo ni kubeba Abiria au Watalii 4,700 lakini Watalii waliokuja nayo Dar ni 2,210 huku Wafanyakazi pia wakiwa ni 1,111.

“Jambo la kihistoria hii meli ina urefu wa mita 294, kwanza kampeni ya Royal Tour inaendelea kuzaa matunda lakini sisi k**a Bandari tunafurahi Captain wetu ameenda ichukua meli kule nje kuja nayo ndani kwa usalama wa hali juu,

“Kwa Bandari ya Dar es salaam hii meli kwa urefu wake ndio meli ndefu kabisa kupokelewa hapa, tunajivunia maboresho ya Bandari kwenye kuchimba kina kwenye mlango ndio tumeweza kupitisha hiyo meli na sisi matarajio yetu kuhudumia meli ndefu zaidi”

10/11/2023
07/09/2022

Pare traditional dance

Address

P. O. BOX 263
Same

Telephone

+255675114629

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chasuchedi Adventures posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Chasuchedi Adventures:

Share

Category