Sam the Hero Classic Spice Guide

Sam the Hero Classic Spice Guide We conduct stone town tour, jozani forest tour, prison island tour, safari blue, village tour,Spice Tour and offer spice meals for those who will need it.

Not only that but also different excursions such as snorkolling to minemba island, dolphin tour

13/04/2025
13/04/2025
20/03/2025

Bianvenyuu ala iftar

20/03/2025

Kitendo cha Yanga kwenda CAS kudai pointi tatu za Mezani, inaturudisha nyuma hadi mwaka 2018 walipofanya hivyo Boca Juniors ya Argentina waliokuwa na mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Amerika ya Kusini dhidi ya River Plate pia ya Argentina šŸ‡¦šŸ‡·
Timu hizi zenye Upinzani wa muda muda mrefu k**a ilivyokuwa Yanga na Simba, lakini wao mara nyingi mechi zao zimekuwa zikigubikwa na matukio mengi ya vurugu kutokana na ushindani huo.
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali hiyo ulipigwa Novemba 11, 2018, uk**alizika kwa sare ya 2-2, kisha marudiano ukapangwa kupigwa Novemba 24, 2018.
Hata hivyo, mchezo huo haukufanyika sababu ya vurugu zilizozuka nje ya uwanja zilizosababisha basi la wachezaji wa Boca Juniors kushambuliwa na baadhi ya mashabiki wa River Plate na mwishowe wakaondoka katika eneo la uwanja wa mchezo huo.
Kutokana na hali hiyo, Shirikisho la Soka Amerika ya Kusini (CONNMEBOL), likaahirisha mchezo huo na kupanga tarehe nyingine, huku ikiamuliwa mechi hiyo itapigwa nje ya Argentina.
Boca Juniors walipinga suala hilo na kusisitiza hawatocheza mechi hiyo, wakaenda mbali zaidi wakifunguka kwamba River Plate haikutakiwa kushiriki kabisa mechi hiyo kutokana na vitendo vyao, hivyo wao wapewe ushindi wa Mezani na ikiwa hawatosikilizwa watapeleka kesi hiyo kwenda Mahak**a ya Usuluhishi wa Masuala ya Michezo (CAS).
Hata hivyo, CONNMEBOL ilitupilia mbali shauri hilo na baada ya hapo, Boca iliwasilisha kesi kwenda CAS ambako pia huko waligonga mwamba na waliambiwa CAS haiwezi kutoa Ushindi wa Mezani.
Mwisho mechi hiyo ikaenda kupigwa Disemba 9, 2018 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu, Hispania ambapo River Plate ilishinda kwa mabao 3-1, hivyo ikaibuka bingwa kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-2 na kubeba ndoo ya michuano.

20/03/2025

Hongera Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya Uongozi wako mahiri.


20/03/2025

Mtayarishaji wa muziki wa miondoko mipya alimaarufu Bongo fleva S2kizzy ameamua kujimwagia maua yeye mwenyewe kabla ya wengine kummwagia sifa mtayarishaji huyo.

S2kizzy ameandika ujumbe katika mtandao wa Instagram akidai kuwa yeye ndio mtayarishaji bora zaidi wa muziki kwa Afrika Mashariki kwa waandaaji wote waliohai na waliofariki hakuna k**a yeye tangu muziki uanze kwa upande wa Afrika Mashariki, Ameeleza hayo baada ya wimbo ambao ameutayarisha wa Msanii Rayvanny NesaNesa Kufanya vizuri katika mataifa yaliyo nje ya Afrika.

S2kizzy katika mtandao wa instagram ameandika.... ''SIJAWAHI KUONA K**A MIMI,HAKUNA PRODUCER ALOWAHI KUFANYA GLOBAL HITS AND INTERNATIONAL PE*******ON SONGS K**A MIMI … DEAD OR ALIVE , NOBODY NOBODY NOBODY IN ALL GENERATIONS SINCE MUZIKI UANZE EAST AFRICA . Sio KENYA Sio UGANDA Sio BURUNDI Sio RWANDA Sio TANZANIA.
I’m HIM …. !!! TUMEWAPA INGINE HIYO Big S/o To Rayvanny na Diamond FOR ALWAYS DELIVERING Blessings To My beats''

Unakubaliana naye āœšŸæ

Address

DOLE/ZANZIBAR
Stone Town

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:30
Tuesday 08:00 - 18:30
Wednesday 08:00 - 18:30
Thursday 08:00 - 18:30
Friday 08:00 - 18:30
Saturday 08:00 - 18:30
Sunday 08:00 - 18:30

Telephone

+255693915172

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sam the Hero Classic Spice Guide posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sam the Hero Classic Spice Guide:

Share

Category