Amboni caves guides

Amboni caves guides we deal with tourism activities

25/03/2021
Dream it, visit guys lets go magoroto and see the beaut of our country
09/03/2021

Dream it, visit guys lets go magoroto and see the beaut of our country

This is the best view of amboni caves   # tanzaniaunforgetable #
24/10/2020

This is the best view of amboni caves # tanzaniaunforgetable #

Some famous music artists in amboni caves  # photo by Serio Hamis   #
24/08/2020

Some famous music artists in amboni caves # photo by Serio Hamis #

Nature is always beautful @ amboni caves
14/08/2020

Nature is always beautful @ amboni caves

This is  #  # #
05/02/2020

This is # # #

TAARIFA FUPI:Amboni caves kwasasa inasimamiwa na mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro kutokana na mabadiliko ya idara kutoka...
27/12/2019

TAARIFA FUPI:
Amboni caves kwasasa inasimamiwa na mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro kutokana na mabadiliko ya idara kutoka mikononi mwa idara ya Mambo ya kale( antiquities Division) kuja kwa NCAA( Ngorongoro Conservation Area Authority) nia na madhumuni ni kufanya maboresho ya kituo lakini pia kuutangaza utalii wa mapango kidunia zaidi na tamko la mabadiliko limetoka kwa MH. Dk. Hamisi kigwangala hivyo Team nzima ya amboni caves inayofuraha kuwakaribisha nyoote kuja kutembelea mapango ya amboni kwa ajili ya kukuza utalii wetu wa ndani na kufahamika kidunia zaidi # amboni caves is unforgertable adventure #

27/12/2019

Hallo leute jetzt ist Seit für Abenteuer

Kuna maajabu mengi Duniani na mojawapo ni hili la Taa (Balbu), ambayo inashikilia rekodi ya kuwaka kwa muda mrefu zaidi....
07/09/2019

Kuna maajabu mengi Duniani na mojawapo ni hili la Taa (Balbu), ambayo inashikilia rekodi ya kuwaka kwa muda mrefu zaidi.

Unaambiwa Balbu hiyo inawaka kuanzia mwaka 1901 na inapatikana huko Livermore, California Marekani na kitengo cha Zimamoto kutoka Livermore, ndiyo wamepewa mamlaka ya kuitunza na kuihudumia.

Kwa mwanzo Balbu hiyo inasemekana ilikuwa ikitoa nguvu ya mwanga yenye Watt 40 mpaka 60, lakini kwa sasa inatoa Watt 4 sababu ikitajwa ni kutokana na kukaa muda mrefu na mabadiliko ya teknolojia.

Balbu hiyo ilitengenezwa na kampuni ya Shebby Electric na inaelezwa kuwa taa nyingi zilizotengenezwa na kampuni hiyo miaka ya zamani mpaka sasa zinafanya kazi.

Zylpha Bernal Beck anasimulia kuwa Balbu hiyo ilitolewa na baba yake kwa kitengo hicho cha kupambana na moto mwaka 1901 ikiwa ni k**a msaada.

Iligunduliwa mwaka 1972 na ripota aliyefahamika kwa jina la Mike Dustan, ambaye alifanya mahojiano na watu walioishi eneo hilo kwa muda mrefu na baadaye aliamua kuwaita watu wa 'Guinness Records' ambao walithibitisha kuwa Balbu hiyo imeweka rekodi ya kuwaka kwa muda mrefu zaidi.

Kwanini inawaka kwa muda mrefu?

Baadhi ya tafiti zilionesha kuwa kuwaka kwa Balbu hiyo kwa muda mrefu kunatokana na namna 'material' yake yalivyotengenezwa ambayo kwa kiasi kikubwa hulinda 'Vacuum' kwa lugha rahisi glassi yake isipoteze unga wake ambao ndiyo huwa chanzo kwa balbu nyingi kuzidiwa na kupasuka.

Balbu hiyo hutembelewa na watu wengi na kwa sasa kuna kitengo maalum kiliundwa, kwaajili ya kuhakikisha inabaki salama muda wote.

Address

P. 0. Box 178, Amboni-mafuriko
Tanga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amboni caves guides posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category