Utalii wa Ndani

Directions Website Contact the business

Utalii wa Ndani volunteers for Tourism Development and Environmental Conservation, Deals with tourism activities and

Kaolezoo BagamoyoSehemu nzuri ya kuinjoi, mazingira, nakujifunza tabia za wanyama tofauti tofauti, ndege na Nyoka. iliku...
15/09/2026

Kaolezoo Bagamoyo
Sehemu nzuri ya kuinjoi, mazingira, nakujifunza tabia za wanyama tofauti tofauti, ndege na Nyoka.

ilikua ni ziara Nzuri
Hakika tutarudi Tena

Karibu Bagamoyo, Karibu Kaole

15/09/2026

Utamaduni ni maisha na maisha ni Utamaduni, Ngoma za Asili ni Sehemu Muhimu sana ya Tamaduni Zetu.
Kikundi cha ngoma Asili, Mkinga, kinapatikana Muda wote, kwa Matukio yote..
"Nchi yetu, Utamaduni wetu"

Michezo na utalii,  Wanamichezo wa Halmashauri ya Wilaya Mkinga Walipofanya Ziara ya Michezo na Utalii Bagamoyo Town, Th...
15/09/2026

Michezo na utalii,
Wanamichezo wa Halmashauri ya Wilaya Mkinga Walipofanya Ziara ya Michezo na Utalii Bagamoyo Town, The Caravan Serai, na Kuhitimishwa na mechi za Michezo ya Mpira wa Miguu, Riadha, Kikapu na Kuvuta Kamba.

Michezo na Utalii.

13/09/2026
Scan to book a seat, and see costing
13/09/2026

Scan to book a seat, and see costing

   u Give us a reason to Grow
30/05/2026

u Give us a reason to Grow

14/05/2026

Celebrating my 13th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

Address

DAR ES SALAAM
Tanga
DARESSALAAM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utalii wa Ndani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Utalii wa Ndani:

Shortcuts

Share

Category