31/03/2026
Wengi wakikutana na hii Tabia ya wild dog watadondosha point but the fact is
Hawa jamaa ni most successful hunter in wild, with more than 90% percent of chasing the preys
They are very genius and collaborative likija swala la kuwinda
Na hapo wana fanya scent mask ambapo watajigaragaza kwenye kimba la tembo ili kupoteza harufu yao harisi inayoweza kuwa directed na preys pale wanapo fanya ambush
Ni fact nzuri sana kuielezea pia ukiwa unaongelea Tembo k**a key stone species👍🏽