09/04/2023
๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ฃ๐๐๐ ๐ ๐ ๐บ๐๐๐ ๐๐
(29-30 ๐ฐ๐๐๐๐ 2023, 2 ๐ณ๐๐ข๐ 1 ๐ฝ๐๐๐๐)๐
Ni group trip ya siku 2 kuanzia Dar Es Salaam ambapo tutaenda kutalii na kuenjoy katika Mji wa Kilwa na Visiwa vyake, ni moja ya eneo lenye vivutio vingi na historia kubwa.
Ilipokuwa bandari moja ya biashara yenye ushawishi mkubwa katika ukanda wa pwani ya Afrika Mashariki, Kilwa leo ni kijiji cha wavuvi, nyumbani kwa historia tajiri ya kitamaduni, UNESCO iliorodhesha magofu ya Urithi wa Dunia, fukwe nzuri pamoja na mfululizo wa miamba na njia za maji za ndani.
Safari itaanzia Mlimani City-Dar.๐
Gharama: 175,000 kwa mtu mmoja
330,000 kwa Couple
Maeneo tutakayotembelea: Songo Mnara Island, Kilwa Kisiwani na Kilwa Masoko.
Activities tutakazofanya:
โ๏ธBoat Cruising
โ๏ธBeach Bonfire
โ๏ธMangrove and Lagoon path
โ๏ธBeach games
โ๏ธSwimming
โ๏ธVisit Kilwa Ruins (Sultanate Palace, Great Mosque, Great fort etc.)
Gharama itahusisha: Usafiri wa kwenda na kurudi, Boats charges , Malazi, Chakula na Vinywaji laini , Picha, Viingilio na gharama za waongoza wataii.
UNARUHUSIWA KULIPIA KIDOGOKIDOGO.
VODACOM LIPA KWA SIMU NO: 5771618
DISPLAY NAME: SKYLIGHT TOURS & TRAVEL.
Kwa maelezo zaidi na kufanya booking tupigie au text Whatsap kabla ya 24 March: +255 764 840 862 /+255 673 770 111
Email: [email protected]
Website: www.skylighttours.co.tz