20/06/2026
🌴*TWENZETU ZENJ PICNIC – 17 JULAI 2026* 🌴
Pata mtoko wa kishua ndani ya Zanzibar kwa siku 3 za burudani, mapumziko na vivutio vya kipekee!
Katika safari hii utapata:
âś… Usiku 3 wa malazi ya lodge (siku 4)
âś… Milo 3 kwa siku
âś… Usafiri wa gari wakati wote wa safari
âś… Kutembelea maeneo 5 ya kuvutia ya utalii
âś… Huduma ya mtaalamu wa kuwaongoza wageni
Fanya booking yako mapema!
⏳ Mwisho wa kufanya usajili ni tarehe: [15.07.2026 ]
KWA MAWASILIANO:
Wasiliana nasi kwa namba whatsapp +255 747 608529
Usikose fursa ya kufurahia mandhari ya kuvutia, fukwe za kipekee na kumbukumbu zisizosahaulika.
TWENZETU ZENJ PICNIC – Safari ya kishua, bei rafiki na burudani isiyo na kifani!