Tatwawwue Hajj and Umrah Travelling Agency

Tatwawwue Hajj and Umrah Travelling Agency Taasisi ipo kwa ajili ya Kushajihisha, Kuelimisha, Kukusanya, Kusafirisha na Kuwasaidia Mahujjaji kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hijja.

08/12/2016
Salat is one of the central elements of Islamic practice and worship. Indeed, it is the second of the Five Pillars of Is...
07/12/2016

Salat is one of the central elements of Islamic practice and worship. Indeed, it is the second of the Five Pillars of Islam and, along with the testimony of faith, the pilgrimage to Mecca, fasting the month of Ramadan and paying the poor tax, forms the essential framework of religious life for Muslims. More than that, the observance of the ritual prayer forms the framework of each Muslim’s day, from the pre-dawn morning prayer to the night prayer that precedes sleep.

05/12/2016
27/05/2015

Taasisi ya Labayka Hajj & Umra inawatangazia wote wenye nia ya kwenda Hijja kuanzia mwaka huu 2015/ 1436H kwamba Serikali ya Saudi Arabia imeamua kukamilisha usajili wa Mahujaji wote mwishoni na mwezi wa Shaaban, nasi tunawaomba waislam wote wenye nia ya kwenda kuhiji wasafiri na taasisi yetu pia wajisajili sasa na wahakikishe wamekamilisha taratibu zote za safari kabla ya tarehe 15 Juni 2015, muwafaka na mwezi 28 Shaaban 1436.

Gharama katika Labayka ni USD 3,950. tu ambazo zitagharamia semina zote za hijja nchini na safarini, Chanjo, Usafiri wa ndegena mabasi, Chakula muda wote safarini, Ziara katika maeneo muhumi na ya kihistoria Madina na Makka, Ihramu kwa Mahajj wote, Nyumba za karibu na Misikiti Mitakatifu Makka na Madina, Mahema ya huduma maalum Mina na Arafat, Miongozo katika hatua zote za Ibada chini ya Usimamizi wa viongozi wazoefu na makini.

Kuhijiwa ni USD 1,500. tu

Safari itaanza tarehe 08/09/2015 kufikia Madina kurudi ni tarehe 29/09/2015.

Lipia Moja kwa Moja katika Account yetu:

PBZ ISLAMIC BANK:

ACCOUNT NO: 54120200001817

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0777 452293 na 0777 413574

16/05/2015

Address

Kwa Mchina Mwanzo Na Chakechake Pemba
Zanzibar

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tatwawwue Hajj and Umrah Travelling Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category